usalama • uaminifu • uhakika

Wakala wa Manunuzi Mtandaoni

Mshirika wako wa kuaminika katika manunuzi ya bidhaa mtandaoni

Tunaondoa vikwaza vya manunuzi ya bidhaa mtandaoni & Tunakuletea Bidhaa uzipendazo mkononi mwako

.Sisi ni mawakala wa manunuzi, kazi yetu ni kukuwakilisha wewe katika kufanya manunuzi ya Bidhaa mtandaoni ili kukuepusha na utapeli,Bidhaa feki na kuokoa muda wako

kutatua changamoto yako

Jinsi tunavyokusaidia katika manunuzi

Tutumie hitaji lako

Tutumie picha au maelezo ya Bidhaa unayotaka. Sisi tutaingia sokoni kutafuta Bidhaa hiyo kwa niaba yako na kukuunganisha na wauzaji hal.

Uhakiki & Ukaguzi

Kabla ya manunuzi, tunahakiki ubora wa Bidhaa. Tunafanya majaribio (testing) ili kuhakikisha unanunua Bidhaa kwa ubora uleule ulioukusudia.

Wauzaji Halisi

Tunahakikisha manunuzi yako yote yanafanyika kwa wauzajia au wafanyabiashara halisi wenye hiyo Bidhaa unayohitaji ili kukuepusha na matapeli.

Usimamizi

Tunahakikisha usimamizi wa Bidhaa yako baada ya manunuzi kutoka kwa mfanyabiashara

Usafirishaji

Tunahakikisha usafirishwaji wa Bdihaa kutokea kwa mfanyabiashara hadi pale unapohitaji Bidhaa ikufikie.

Ushauri & Mapendekezo

Sisi tutahakikisha unapata kilicho bora kwa kutoa ushauri wa buree na mapendekezo.

SISI TUNASEMA

Inawezekana Manunuzi Mtandaoni bila utapeli

USISUBIRI

Wasiliana nasi kwa Maelezo zadi